Mashindano ya Quran Mombasa yawaleta vijana 90 kushiriki usomaji na uhifadhi

  • | NTV Video
    335 views

    Mashindano ya Quran mjini Mombasa, katika uwanja wa Makadara, ni moja wapo ya matukio muhimu yaliyowaleta pamoja vijana wasomi zaidi ya 90 kushiriki katika usomaji na uhifadhi wa Quran mfungo wa Ramadhan

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya