Mashindano ya Quran ya kimataifa Marekani

  • | VOA Swahili
    252 views
    Maryam Abdellatif kutoka Misri na Ahmed Bashir Aden kutoka marekani ni washindi wa mashindano ya kwanza ya kimataifa ya kusoma Quran hapa Marekani. Mashindano hayo yaliyotayarishwa na taasisi ya Tibyan yenye makao yake makuu Minnesota yalifanyika mwishoni mwa wiki mjini Lahnam karibu na Washington DC na kuwepo na matifa 15 yaliyoshiriki. Abdushakur Aboud alihudhuria mashindano hayo na kututayarishia ripoti ifuatayo.