Mashindano ya teknolojia nchini Uturuki

  • | Citizen TV
    381 views

    Huku wizara ya elimu ikiendelea kutekeleza mtaala mpya wa CBC, Kenya ina mengi ya kujifunza kutoka Uturuki kuhusu teknolojia. Taifa hilo huandaa maonyesho ya teknolojia hasa katika sayansi na ufundi wa vyombo vya angani maarufu TEKNOFEST ambapo wanafunzi wa shule za upili na vijana wadogo hushindana kwenye ubunifu wa teknolojia ukiwemo uundaji wa roboti. Mwaka huu tamasha hiyo iliandaliwa katika jamhuri ya uturuki ya kaskazini mwa Cyprus.