Mashine ya kupoza maziwa ya lita 20,000 yazinduliwa kwenye kituo cha kukusanya maziwa, Githongo

  • | Citizen TV
    398 views

    Shirika la kuzalisha maziwa limezindua mashine ya kupoza maziwa yenye ya lita 20,000, yenye thamani ya Ksh12 milioni ambayo itatumika kwenye kituo cha kukusanya maziwa kilichoko eneo la Githongo, eneobunge la Imenti Central.