Mashirika mbalimbali yajitokeza kuelimisha wakazi kuhusu ugonjwa wa kisukari

  • | K24 Video
    17 views

    Wakenya wametakiwa wafanye vipimo vya mara kwa mara ili kubaini iwapo wanaugua ugonjwa wa kisukukarimashirika mbali mbali kaunti ya Uasin-Gishu yamejitokeza kuwafanyia vipimo vya bure wakaazi ili kukabiliana na ugonjwa wa kisukari