Mashirika mbalimbali yanachambua bajeti ya kilimo

  • | Citizen TV
    997 views

    Mashirika ya kijamii na yale yasiyo ya kiserikali yamekongamana jijini Nakuru kutoa mustakabali kuhusu kilimo nchini hususan fedha zilizotengewa sekta ya kilimo kwenye makadirio ya bajeti ya mwaka 2023/24. Aidha mkutano huo pia unazungumzia suala la vyakula vya kisaki au GMO baada ya mahakama kuweka marufuku ya vyakula hivyo kuingizwa humu nchini. Tunaungana na Evans Asiba akiwa katika kaunti ya Nakuru.