Mashirika na wakazi waadhimisha siku ya wakongwe Kisii

  • | Citizen TV
    240 views

    Mashirika mbalimbali pamoja na wakazi kutoka matabaka mbalimbali nchini yanaendelea kumiminika maeneo ya Marani , Kitutu Chache Kaskazini kaunti ya Kisii kuadhimisha siku ya kimataifa ya wakongwe. Eneo la Marani ndilo eneo ambapo kinamama wanne wakongwe waliteketezwa hadi kufa kwa madai ya ushirikina.