Mashirika ya dini yakashifu serikali kwa ubomoaji Milimani

  • | Citizen TV
    569 views

    Mashirika ya Kidini kutoka kaunti ya Kakamega kwa sasa yanatoa taarifa kuhusu ubomoaji ya nyumba unaoendelezwa katika eneo la Milimani kaunti ya Kakamega, wakilalamikia jinsi shughuli hiyo inavyoathiri wakazi na wafanyikazi wa eneo hilo. Aidha, makundi hayo yanadai kwamba shughuli ya ubomoaji inalenga watu binafsi huku wakitaka haki itendeke.