Mashirika ya haki kuishtaki Tanzania

  • | KBC Video
    18 views

    Kinara wa chama cha People’s Liberal Party Martha Karua amefichua kwamba mashirika ya kutetea haki za binadamu yatatafuta haki kwa wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kutoka nchini Uganda katika mahakakama ya haki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya kutetea haki za binadamu barani Africa kufuatia dhuluma zilizotekelezwa dhidi ya wawili hao nchini Tanzania. Aidha ametoa wito kwa tume ya muungano wa Afrika pia kubuni tume ya kuchunguza suala hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive