Mashirika ya haki yafanya maandamano kulalamikia uamuzi kuhusu ushoga Uganda

  • | Citizen TV
    474 views

    Marekani imetishai vikwao dhidi ya Uganda, kufuatia hatua ya Rais Yoweri Museveni kutia saini sheria dhidi ya mahusiano ya jinsia moja. Rais wa Marekani Joe Biden ameshutumu uamuzi wa taifa hilo, akisema unakiuka haki za kibinaadam. Biden ameyasema haya huku maandamano yakifanywa nchini Marekani kufuafia uamuzi huu ulioibua hisia kali duniani. Wanaharakati walijitokeza barabarani katika majimbo mbalimbali nchini Marekani wakiwa wamebeba mabango ya kushutumu uamuzi.