- 8,855 viewsDuration: 3:28Mashirika ya kutetea haki za binadaamu yanaitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati na kukomesha ukiukaji wa haki za binadamu nchini Tanzania. Mashirika hayo yamemkashifu rais Samia Suluhu kwa kutumia vyombo vya usalama kuwakandamiza waandamanaji wanaotetea haki zao kisheria. Na kama anavyoarifu Seth Olale, Kinara wa chama cha PLP Martha Karua anataka umoja wa Afrika AU, kuingilia kati na kukomesha vifo na utekaji nyara wa waandamanaji nchini humo.
