Mashirika ya haki yataka uchunguzi huru wa mauaji

  • | Citizen TV
    250 views

    Ripoti ya punde zaidi iliyotolewa na shirika la IMLU sasa inapendekeza kubuniwa kwa jopo maalum kuchunguza mauaji yaliyotokea wakati wa maandamano ya Gen Z mwaka jana.