Mashirika ya kijamii yafanya matembezi Taita Taveta

  • | Citizen TV
    203 views

    Shirika moja kaunti ya taita taveta limeandaa matembezi ya kuhamasisha jamii kuhusu mbinu za kuishi na wanyamapori bila mgogoro. jamii hizo ni zile zinazoishi maeneo karibu na mbuga ya wanyamapori ya Tsavo Mashariki na magharibi