Mashirika ya kijamii yakosoa mswada wa fedha 25/26

  • | Citizen TV
    1,085 views

    Baadhi ya mashirika ya kijamii chini ya mwavuli wa Okoa Uchumi yameishutumu serikali kwa kile yamedai ni kutumia mswada wa fedha wa 2025/2026 kuwaumiza walipa ushuru huku ikiwapendelea wachache wenye ushawishi. Mashirika hayo yanasema sekta ya afya imepata pigo kubwa, huku huduma za afya ya uzazi, linda mama zikifutiliwa mbali na bei ya dawa kutarajiwa kupanda.