Mashirika ya kijamii yalalamika kuwa serikali inayatishia

  • | Citizen TV
    1,831 views

    Watu wasiojulikana walivamia ofisi za mwanaharakati boniface mwangi katika eneo la Kilimani hapa jijini Nairobi. Kundi hilo lililonaswa kwa kamera za CCTV lilifika kwenye ofisi hizo za "sema ukweli" likitumia pikipiki .. Na kama vile emily chebet anavyoarifu, mashirika ya kijamii yamelalamikia ongezeko la vitisho dhidi ya wanaharakati hasa katika mitandao ya kijamii.