Mashirika ya kijamii yanapinga ubinafsishaji wa Bandari

  • | Citizen TV
    168 views

    Mashirika ya kijamii kutoka ukanda wa Pwani yakiongozwa na shirika la Haki Afrika yamekongamana na kupinga vikali ubinafsishaji wa bandari na kutaka serikali kuu kugatua majukumu ya usimamizi wa bandari kwa kaunti za Pwani