Mashirika ya kijamii yazidi kukosoa nguvu za polisi

  • | Citizen TV
    1,393 views

    Makundi ya wanaharakati wa kutetea haki nchini yameendelea kukashifu utumizi wa nguvu kupita kiasi kutoka kwa maafisa wa usalama nchini wakati wa maandamano. Makundi haya yakishikilia kuwa muafaka wa haraka utapatikana endapo wanasiasa watatumia nafasi zao kuhubiri uwiano na pande zinazozozana kufanya mazungumzo.