Mashirika ya kupigania haki za binadamu yasema wakenya 61 waliuawa wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    1,769 views

    Mashirika Sita Ya Kupigania Haki Za Binadamu, Mashirika Ya Wanasheria Na Matibabu Yamesema Wakenya 61 Waliuawa Wakati Wa Maandamano Ya Gen-Z, Huku Wengine 67 Wakitekwa Nyara. Kulingana Na Mashirika Hayo Polisi Walitumia Nguvu Kupita Kiasi Na Kuwajeruhi Wengi Licha Ya Maandamano Hayo Kuwa Ya Amani.