Mashirika ya kutetea haki Mombasa yataka serikali ya Uganda kuachilia Kizza Besigye

  • | Citizen TV
    1,143 views

    Chama cha mawakili tawi la Mombasa pamoja na mashirika ya kutetea haki kaunti hiyo wametaka kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye