Mashirika ya misaada yaonya kuhusu njaa kali Gaza

  • | BBC Swahili
    786 views
    Zaidi ya mashirika mia moja ya misaada yakiwemo mashirika makubwa kama Oxfam na Save the Children yametoa tamko la pamoja likionya kwamba njaa inazidi kuenea ndani ya Ukanda wa Gaza.