Mashirika ya msaada yatatizika kuwaokoa waathiriwa kutokana na vijiji vingi kuzingirwa na maji

  • | Citizen TV
    413 views

    Athari za mafuriko eneo la Tana Delta kaunti ya Tana River zinaendelea kushuhudiwa huku mashirika ya kijamii yakishindwa kuwafikia waathriwa kutokana na vijiji vingi kuzingirwa na maji