6 Aug 2026 10:22 am | Citizen TV 198 views Duration: 1:36 Mashirika ya uhifadhi wa wanyamapori yaitaka serikali kuimarisha uwepo wa huduma za wanyamapori katika maeneo ya Kaskazini Mashariki, yakisema uhaba wa vituo vya KWS na walinzi wa wanyamapori unachangia ongezeko la ujangili.