Mashirika ya umma yanakumbwa na changamoto ainati

  • | TV 47
    29 views

    Mashirika yanakumbwa na changamoto ainati.

    Shirika la reli nchini limeboresha utendaji wake.

    Mamlaka ya Uwanja wa Ndege nchini yawa ya mwisho.

    Huduma ya Wanyamapori vile vile zimetajwa kufanya vibaya zaidi.

    Kuzingatia mahitaji ya kisheria, ukosefu wa fedha za kutosha, kuingiliwa kisiasa, vitisho na mashambulizi mtandaoni na nje ya mtandao ni baadhi ya changamoto wanazozikumba.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __