Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya umma yawataka wanasiasa kuheshimu nafasi zao

  • | Citizen TV
    816 views
    Duration: 2:42
    Mashirika 20 ya umma nchini yamekosoa lugha ya matusi iliyotumiwa hivi karibuni na Rais William Ruto na wanasiasa wengine wa upinzani. Mashirika haya yakijumuisha yale ya kutetea haki na uwajibikaji yanasema matusi yanayoshuhudiwa kwenye majukwaa ya siasa ni ya kushusha hadhi za uongozi. Na kama Melita Oletenges anavyoarifu, mashirika haya sasa yanataka wakenya kupewa haki yao ya heshima kutoka kwa wanasiasa