Mashirika ya Ushirika Wema na Ahadi Kenya yazindua mpango wa vipimo vya magonjwa kwa wakongwe

  • | Citizen TV
    82 views

    Shirika la Ushirika Wema likishirikiana na Ahadi Kenya Trust limeanzisha mpango wa kuwapima wakongwe dalili za magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama shinikizo la damu na kisukari katika kaunti ya Murang'a.