Mashirika ya wakulima yapewa ufadhili wa ksh.70m Nandi

  • | Citizen TV
    41 views

    Mashirika mbalimbali vya kilimo kaunti ya Nandi yamenufaika baada ya kupata ufadhili wa shilingi milioni 70 kutoka kwa mradi wa ukuzaji wakilimo wa kitaifa