Mashirika yahamasisha umma kuhusu hatari ya ukeketaji

  • | Citizen TV
    179 views

    Japo ni karne ya 21, mila na tamaduni zilizopitwa na wakati bado zinaathiri vita dhidi ya tohara kwa mtoto wa kike. Mashirika ya kijamii yameanzisha mafunzo kwa kuwatumia waliopitia dhuluma hizo angalau kizazi cha sasa kielewe athari za tohara kwa mtoto msichana.