Mashirika yakashifu mauaji ya Albert Ojwang

  • | Citizen TV
    205 views

    Shirika la International Justice Mission (IJM) pia limeongeza sauti yake na kutaka uwajibikaji kuhusiana na kifo cha mwanablogu Albert Ojwangmikononi mwa polisi katika kituo cha polisi cha Central hapa jijini Nairobi.