Mashirika yalalama kuhusu bajeti ya 2025/2026 Bungoma

  • | Citizen TV
    116 views

    Mashirika ya kijamii na wadau wa maendeleo wameelezea wasiwasi mkubwa kuhusiana na bajeti ya mwaka wa kifedha 2025/2026 ya Kaunti ya Bungoma, wakisema kuwa haizingatii mahitaji ya mwananchi wa kawaida na inaonyesha dalili za kudhoofisha utoaji wa huduma muhimu.