Mashirika yashinikiza ugatuzi kutekelezwa kikamilifu

  • | KBC Video
    9 views

    Kundi la kupigania ugatuzi limetaja uhamisho wa baadhi ya majukumu yaliyogatuliwa na uingiliaji wa kisiasa kama tisho kwa ugatuzi. Wakizungumza jijini Nairobi hivi leo, wanachama wa kundi la mashirika ya kijamii la taifa kuhusu ugatuzi, waliwakosoa viongozi wa kaunti, kwa kujadili fedha za maendeleo katika Ikulu. Joseph Wakhungu ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive