Mashirika yasiokuwa yakiserikali yanataka mawaziri waliofutwa wasirudi

  • | Citizen TV
    341 views

    Muungano wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yanaitaka tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini kuwapiga msasa mawaziri waliotimuliwa pamoja na mali wanayomiliki. Aidha, wanataka kuwazuia kuteuliwa katika nafasi zozote za umma.