Mashirika yasiyo ya serikali yatoa ufadhili wa kozi za kiufundi katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    304 views

    Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali katika kaunti ya Samburu, yameendeleza mchakato wa kutoa ukufunzi wa kozi za kiufundi Kwa jamii ya wafugaji ya Wasamburu katika eneo la Baragoi Samburu kaskazini. Hatua hii imechukuliwa kama njia mbadala ya kuwawezesha wakazi kujikimu kimaisha na kusitisha uvamizi na wizi wa mifugo.