Mashirikika 9 ya umma yamevunjiliwa mbali

  • | Citizen TV
    4,633 views

    Baraza la mawaziri lilifanya mkutano maalum mjini Kakamega na kuidhinisha kufungwa kwa mashirikika 9 ya Umma. Baraza hilo lililowajumuisha mawaziri wanne walioapishwawiki iliyopita liliamua kuunganisha mashirika ya umma 42 kuwa 20. Haya yanajiri huku Rais William Ruto akiendeleza ziara yake eneo la Magharibi