Mashuhuda wa mkasa wa ajali ya ndege waelezea namna ajali ilivyotokea kaunti ya Elgeyo Marakwet

  • | K24 Video
    17,010 views

    Maafisa kutoka kitengo cha ujasusi DCI na wenzao wa kutoka idara ya majeshi ya ulinzi walikita kambi katika eneo la Sindar Elgeyo mchana kutwa hii leo huku uchunguzi wa kubaini kilichosababisha ajali ya ngege iliyomuua mkuu wa majeshi Francis Ogolla na wanajeshi wengine ukianza. Haya yanajiri huku mashuhuda wa mkasa huo wakielezea namna ajali hiyo ilivyotokea hapo jana adhuhuri katika bonde la Kerio kaunti ya Elgeyo Marakwet