- 377 viewsUsiku wa Jumanne, mkasa ulipotokea katika Shule ya Wasichana ya Utumishi, Gilgil, Kaunti ya Nakuru, waokoaji wa kwanza walijitosa kwneye eneo la mkasa bila kusita, kuwaokoa wasichana waliokuwa wamekwama ndani. Maryanne Nyambura alikutana na mmoja wao ambaye alimsimulia jinsi walipambana kuokoa maisha ya watoto hao usiku wa Jumatano kuamkia Alhamisi.