| MASKANI NA RASHID | Mzigo wa Mishahara [Part 2]

  • | Citizen TV
    117 views

    Mishahara ya wafanyikazi ni mzigo mkubwa Mzigo wa mishahara umewaathiri vibaya wananchi Kiwango kikubwa cha mapato kinagharamia mishahara Serikali imelaumiwa kwa kuajiri wafanyikazi wapya wengi Asimilia 47 ya mapato ya serikali inalipa mishahara #SRC #WageBill