Maslahi ya Mabawabu I Kampuni za ulinzi zaagizwa kuongeza mshahara

  • | KBC Video
    15 views

    Chama cha mabawabu wa kibinafsi kimetoa changamoto kwa kampuni zote za kibinafsi za mabawabu kuzingatia sharti la kiwango cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi hao. Katibu wa chama hicho Dr. Isaac Andabwa aliwahimiza wadau wote kushauriana na serikali ili kuhakikisha marekebisho yanatekelezwa kuboresha maslahi ya mabawabu na kuwapa motisha. Haya yamewadia siku moja baada ya halmashauri ya kuratibu kampuni za kibinafsi za mabawabu kutoa ilani kwa kampuni hizo kuanza kutekeleza sheria hiyo mara moja la sivyo wapokonywe leseni

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive