Maslahi ya watu walio na ulemavu | Changamoto za watu wanaowatunza

  • | KBC Video
    12 views

    Licha ya kuwepo kwa juhudi kabambe za kuwasaidia watu walio na ulemavu nchini, ni machache ndio husemwa kuhusu watu wanaowatunza. Wazazi na watu wanaowatunza watu walio na ulemavu wanakabiliwa na changamoto nyingi huku wakikosa kupata usaidizi wowote kutoka kwa serikali au jamii. Na huku kongamano la nne la taasisi ya elimu maalum liking’oa nanga siku ya jumatano chini ya kauli mbiu ya kuhusishwa na kuhamasishwa kwa wazazi, mwanahabari wetu Yusuf Farah anaorodheshwa baadhi ya changamoto ambazo huwakumba watu wanaowatunza watu walio na ulemavu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ulemavu #News #changamoto #watunzajiwawalemavu