Masomo ya kiufundi Kwale

  • | Citizen TV
    65 views

    Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani amezindua ruzuku ya shilingi milioni 30 ya kufadhili masomo ya wanafunzi walio katika vyuo vya kiufundi katika kaunti ya Kwale.