Masomo yatatizika Tana River baada ya mafuriko

  • | Citizen TV
    157 views

    Huku shule zikiebdelea kufunguliwa kwa muhula wa kwanza, baadhi ya shule zilizoathirika na mafuriko katika kaunti ya Tana River zinakadiria hasara chungu nzima baada ya vifaa na vitabu kuharibiwa na mafuriko.