Masten Wanjala mshukiwa wa mauaji auawa na wanakijiji wa Namakhele

  • | West TV
    Mshukiwa wa mauaji ya zaidi ya watoto 10 Masten Wanjala amevamiwa na wanakijiji wa Namakhele katika kaunti ya Bungoma na kuuawa baada yake kutoroka katika kituo cha polisi Nairobi