Skip to main content
Skip to main content

Maswali mengi juu ya uamuzi wa Marekani Venezuela

  • | BBC Swahili
    72,005 views
    Duration: 2:44
    Wakati dunia bado imepigwa butwaa na hatua ya Marekani kuvamia Venezuela na kumteka rais wa nchi hiyo Nicholaus Maduro, waumini wa sheria za kimataifa wameendelea kukemea kitendo hicho na kuukosoa uamuzi huo si tu kwa kuvunja sheria za kimataifa bali pia kwa kuweka mfano wa nchi zingine zenye mabavu ya kijeshi kufanya kitu kama hicho kwa nchi ndogo na dhaifu ilizo na uhasama nazo Mwandishi wa BBC @sammyawami anatuangazia maswali na majibu ya utekaji huo wa Maduro @eagansalla_gifted_sounds - - #bbcswahili #venezuela #foryou #maduro #trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw