Maswali ya nyumba ya Serikali

  • | Citizen TV
    4,601 views

    Siku moja baada ya Rais William Ruto kuwakabidhi wakaazi wa mtaa wa Mukuru kwa njenga nyumba 1,080 za serikali, ni familia moja tu ambayo tayari imeingia kwenye nyumba hizo. Jambo hili likiibua maswali kuhusu hatma ya wale wakazi wengine waliokabidhiwa vifunguu vya nyumba hizo. Haya yanajiri huku kukiwa na madai kwamba waliokuwepo wakati wa hafla hiyo sio wenyeji halisi wa eneo hilo.