Maswali yaendelea kuibuka kuhusu mauaji ya kinyama

  • | K24 Video
    52 views

    Mauaji ya kinyama hasa ya wanawake yamegonga vichwa vya habari mwaka huu, maswali yameendelea kuibuka kuhusu uwezo wa idara husika kufanya uchunguzi kabambe na kuwatia Mbaroni washukiwa wakuu. Idara ya upelelezi, licha ya mauaji ya rita waeni kufanyika miezi kumi na mmoja iliyopita bado haijafanikiwa kumnasa mshukiwa mkuu familia yake ikiendeela kulilia haki. Huku visa zaidi mia moja vya mauaji ya wanawake nchini vikiripotiwa mwaka huu, idara hiyo imetakiwa kukaza kamba na kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake.