Maswali yanazidi kuibuka kuhusiana na mauaji tata ya dereva wa teksi Samwel Mwangi

  • | NTV Video
    1,504 views

    Maswali yanazidi kuibuka kuhusiana na mauaji tata ya dereva wa teksi aliyeuawa na watu wasiojulikana wiki iliyopita. Ripoti ya upasuaji inaonyesha kuwa Samwel Mwangi aliaga dunia kutokana na majeraha mabaya kichwani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya