Matabibu Kilifi watishia kuanza mgomo leo

  • | KBC Video
    3 views

    Huduma za afya katika kaunti ya Kilifi huenda zikalemazwa kuanzia usiku wa manane leo kufuatia kukamilika kwa makataa yaliyotolewa na chama cha matabibu katika kaunti hiyo. Matabibu hao walikuwa wametoa ilani ya siku saba ya mgomo mwezi uliopita katika juhudi za kuishinikiza serikali ya kaunti kutekeleza mkataba wa maelewano wa mwaka 2024.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive