Matabibu na wauguzi katika kaunti ya Kajiado watoa ilani ya mgomo wiki ijayo

  • | Citizen TV
    174 views

    Muungano wa maafisa wa kiliniki pamoja na muungano wa wauguzi katika kaunti ya Kajiado wametishia mgomo jumatatu wiki ijayo iwapo serikali ya kaunti ya Kajiado haitawapa sikio kuhusu matakwa yao.