Matabibu wanakutana kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    252 views

    Waziri wa afya Deborah Mulongo anatazamiwa kufungua rasmi kongamano la 26 la wauguzi mjini Mombasa. Wauguzi wanatazamiwa kubuni mikakati ya kuboresha sekta ya afya baada ya utekelezaji wa bima ya SHA.