Mataifa 6 barani Afrika yameathiriwa na ugonjwa wa Mpox

  • | KBC Video
    83 views

    Shirika la afya duniani, WHO, limetaja ugonjwa wa Mpox kuwa dharura ya kiafya duniani.. Kwenye kikao na wanahabari, mkurugenzi mkuu wa shirika la WHO, Tedros Adhanom alisema aina hatari zaidi ya ugonjwa huo imesambaa katika mataifa sita ya bara Afrika ambapo watu 15,000 wameambukizwa na 500 kuaga dunia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive