Mataifa mawili yameteuliwa kuhudumu kama wenyekiti kwa kundi la AGN

  • | NTV Video
    84 views

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya wataalam wa African Group OF Negotiators (AGN), mataifa mawili yameteuliwa kuhudumu kama wenyekiti kwa kundi hilo. Majirani, Kenya na Tanzania walikosa kuelewana, hivyo basi kusababisha hali hii. AGN ni kundi ambalo linashiriki mazungumzo ya mabadiliko ya tabia nchi kwa niaba ya bara la Afrika. Uchaguzi huu wa AGN umekamilika Mjini Bonn, Ujerumani, ambako mazungumzo ya matayarisho ya COP-29 yanaendelea.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya